AVDelta News
Majina ya mashujaa waliochangia historia ya Kenya yaliposomwa, umati uliibua shangwe na machozi kwa pamoja lilipotajwa jina la Raila Odinga.
Tume yasema kati ya bajeti ya Sh1.046 bilioni iliyotengwa kufanikisha chaguzi ndogo 24, ni Sh788 milioni pekee zilizotolewa na Hazina ya Taifa.
Zaidi ya washukiwa 35 walibainishwa kupitia uchunguzi huo.
Mradi huo unatarajiwa kubeba abiria wasiopungua 4,000 kwa siku.
Waziri wa Uchukuzi Davis Chirchir, alipokagua mradi huu wiki iliyopita, alisema reli iko tayari na inatarajiwa kuhudumia abiria wapatao 4,000 kwa siku.
Bw Edwin Omindo ni mwalimu wa shule ya msingi kutoka Luanda katika Kaunti ya Vihiga.
Washindi wa fainali watatangazwa katika hafla rasmi ya tuzo hiyo itakayofanyika Julai 3, 2025, jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Gavana Fatuma Achani aliwahimiza wazazi na wanafunzi kuchukua fomu za basari katika afisi za wadi Kwale nzima.
Kwenye mazishi hayo, wanasiasa kutoka mrengo wa ODM walifika kufariji waumini na familia.
Gavana Nassir alisema Hospitali hiyo ya kiwango cha Level 4 itakuwa ya kwanza kushughulikia upasuaji wa tatizo la kupasuka midomo kwa watoto wachanga.