Skip to main content Skip to page footer

Kwenye mazishi hayo, wanasiasa kutoka mrengo wa ODM walifika kufariji waumini na familia.

Read more

Gavana Nassir alisema Hospitali hiyo ya kiwango cha Level 4 itakuwa ya kwanza kushughulikia upasuaji wa tatizo la kupasuka midomo kwa watoto wachanga.

Read more

Baadhi ya mashabiki wa Pembe walisema watakosa tabasamu na furaha iliyotokana na muungano wake (Pembe) na Mzee Senga. 

Read more

Barabara zinatengenezwa kuwa salama katika mpango unaoleta pamoja Wakfu wa FIA, Halmashauri ya Barabara za Mijini Nchini (KURA) na mashirika mengine.

Read more

Wanaomfahamu kwa ukaribu wanasema hakuwahi kuingia studio na karatasi wala simu kama wanavyofanya wasanii wa sasa.

Read more

Afisa wa masilahi ya watoto Msambweni asema akina baba, babu na wajomba ndio wanamulikwa sana.

Read more
  • Ufisadi katika sekta ya maji watajwa kuwa chanzo cha Wakenya kukosa maji safi.
Read more